Ajo Music - Sherehe
Maisha ilinigonga bulinyanga
Na shida nazo zikanisakama
Kukosa dishi mpaka hata no power
Na hata hakuna kazi hutofanya
Lakini sasa bro me najibamba
Nakula nanywa hata na kahawa
Mashida zote zimepoteleanga
Yaani vindu vya vimechenjanga .
Eee iyee aaaa heyaa
Tuzidi songa sana sana sana sana
Weee iye aaa heya
Tuzidi songa sana sana sana sana
Pambana kazana kila mtu pambana kazana
Twende pambana kazana
Ndugu dada pambana kazana
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Celebration
Na mbele tuzidi songa mbele
Mbele tuzidi songa mbele
Mbele tuzidi songa mbele
Celebration
Jitume bila kutazama nani anangalia
Amini Mungu wako sana ndio atasaidia
Na kila kitu kwa maisha ni kutafutia
Usikazane sana sana na kung'anga'ania
Kama Masai weka mori na kujiaminia
Na kila kitu kwako itakua lualala
Fikiri sana kabla ufanye kitu my dear
Uwe na hakikisho hapa tu n sambamba
Eee iyee aaaa heyaa
Tuzidi songa sana sana sana sana
Weee iye aaa heya
Tuzidi songa sana sana sana sana
Pambana kazana kila mtu pambana kazana
Twende pambana kazana
Ndugu dada pambana kazana
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Celebration
Na mbele tuzidi songa mbele
Mbele tuzidi songa mbele
Mbele tuzidi songa mbele
Celebration
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Sherehe mwisho wa kitu sherehe
Celebration
Na mbele tuzidi songa mbele
Mbele tuzidi songa mbele
Mbele tuzidi songa mbele
Celebration
Written by:
Joshua Sanga
Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics powered by Lyric Find