Kichwatah - Tunajirusha

Mikono kwenye hewa na
Nywele kwenye kichwa
Mzeiya unatingisha 
Una unatingisha 
Mikono kwenye hewa na
Nywele kwenye kichwa
Mzeiya unatingisha 
Una unatingisha 

Hey
Tunajirusha 
Weh
Tunajirusha
Baba
Kujirusha
Kwa Yesu
Tunajirusha
Hey
Tunajirusha 
Weh
Tunajirusha
Baba
Kujirusha
Kwa Yesu
Tunajirusha

Buda minajirusha mistari mi naangusha
Turn up! Mpaka ma neighbour wanachungulia kwa dirisha
Ikibamba wanabisha Kichwatah nawakaribisha 
Ndani kabla kaa uutamu kaanze kuisha 
Mikono juu ndio entrance fee 
Heaven hakuna digiri 
Tunasifu Baba usiiconfuse na mashigidi
God weka mbele motto Christ before everything 
Everything? Yeah, Christ before everything
Ukiplay hii track utafidget kama spinner
Shetani atakuchorea kama artist wa henna
Madam hata ukilewa huwezi Wine kwa hii Spirit
Tunajirusha na inakubamba i know you feel it

Mikono kwenye hewa na
Nywele kwenye kichwa
Mzeiya unatingisha 
Una unatingisha 
Mikono kwenye hewa na
Nywele kwenye kichwa
Mzeiya unatingisha 
Una unatingisha 

Hey
Tunajirusha 
Weh
Tunajirusha
Baba
Kujirusha
Kwa Yesu
Tunajirusha
Hey
Tunajirusha 
Weh
Tunajirusha
Baba
Kujirusha
Kwa Yesu
Tunajirusha

Pia mi nita floss na chain ile God alibreak 
Nimeenda deep sana oops wacha niweke some brakes 
Christ ndio the real deal yeh ndio number one
Huyu Devil akona games but yeh ndio ending man 
Mi na Yesu tumeMatch buda we Stick together
Nachapa Sama nikaa niko na spring in any weather 
Mi nacheza na words buda niko na Game Boy
Manifestation ya kipawa juu heaven mi ni employee 
Wacha nimalize hii verse ndio tukule ka hepi 
Inaweza kuwa madharau nikiona mtu ameketi
Mimi nikichapa lap nakuwanga on top
Tunajirusha kizee kwanza when the beat drops yeah

Mikono kwenye hewa na
Nywele kwenye kichwa
Mzeiya unatingisha 
Una unatingisha 
Mikono kwenye hewa na
Nywele kwenye kichwa
Mzeiya unatingisha 
Una unatingisha 

Hey
Tunajirusha 
Weh
Tunajirusha
Baba
Kujirusha
Kwa Yesu
Tunajirusha
Hey
Tunajirusha 
Weh
Tunajirusha
Baba Kujirusha
Kwa Yesu
Tunajirusha

Hey
Weh
Baba
Kwa Yesu
Hey
Weh
Baba
Kwa Yesu
Hey
Weh
Baba
Kwa Yesu
Hey
Weh
Baba
Kwa Yesu

Written by:
Kevin Kamonjoh

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Kichwatah

View Profile