Noel Nderitu - Upendo

Sikuona ishara
Sikuona ishara
Ya upendo wako
Upendo wako we
Ndani nilizama
Ndani nilizama
Upendo wako
Ulinikanganya
Siku zikaja kuwa miezi
Miezi ikawa kuwa miaka
Lakini bado najipata
Ni kama nimetekwa nyara
Lakini sasa naelewa
Hii ni baraka nilipewa
Safari itakuwa njema
Oh
Upendo kama wako
Ni ukweli sio uongo
Nishazama ndani ya moto
Yako
Mtandao umepotea
Na ndani ya box ndio nimeingia
Na sitatoka ndani ya moto
Wa upendo wako
Upendo wako
Upendo wako
Hata tunapozozana
Tunapozozana ye ye ye
Nimeamua kukazana
Amua kukazana nawe
Wanasema ni kazi
Nimejisajili
Na kwenye ripoti
Isemekane kuwa tuko wawili
Na ndio sasa naelewa
Hii ni baraka nilipewa
Nyuma hatutarudi tena
Oh
Upendo kama wako
Ni ukweli sio uongo
Nishazama ndani ya moto
Yako
Mtandao umepotea
Na ndani ya box ndio nimeingia
Na sitatoka ndani ya moto
(Wako mpenzi)
Oh
Upendo kama wako
Ni ukweli sio uongo
Nishazama ndani ya moto
Yako
Mtandao umepotea
Na ndani ya box ndio nimeingia
Na sitatoka
Ndani ya upendo wako (Oh)
Upendo wako
Upendo wako
Wako mpenzi
Upendo wako
Upendo wako

Written by:
Noel Nderitu

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Noel Nderitu

Noel Nderitu

View Profile