Tunda Man - Vita Ni Vita

Alianza mwenyewe kunitumia meseji morning shem
Na mimi nikamjibu
Nikareply morn
Mara niko mwenye
Gari ipo gereji njoo twende sehemu
Mimi nikamuuliza
Haumuambi bwana ako kwanini
Akajibu uko busy busy
Maswali mengi nisiulize
Anatafuta bwana amtulize
Kama sio mimi mwengine
Ok mimi naomba nikuulize
Najua mwanangu uko busy
Sasa bora mimi nimtulize
Au aende kwa mwengine

Unataka tugombane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)
Tufarakane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)
Unataka tugombane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)
Tufarakane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)

Huu ni ugomvi hii ni vita
Bora mwengine angepita
Rafiki wa damu kabisa
Na unajua jinsi alivyonishika
Kiangazi masika kila dakika
Kwakupakua na kupika
Kwanini haukusema mwanza ukaniacha
Leo damu itamwagika
Unajua uchungu wa kupenda wewe (i swear)
Mganga kujinganga mwenyewe (i swear)
Nishawahi kugombana na wewe (i swear)
Sasa leo na zaa na wewe (i swear)

Unataka tugombane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)
Tufarakane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)
Unataka tugombane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)
Tufarakane (si ndio)
Kisa uyo demu (si ndio)

Wanasema abiria chunga mzigo wako
Mke wa mtu sumu
Sasa ukijifanya unamaziwa
Dawa yako ni mafuta tu

Written by:
KHALIDI TUNDA

Publisher:
Lyrics © Songtrust Ave

Lyrics powered by Lyric Find

Tunda Man

View Profile